Quran with Swahili translation - Surah Al-MuTaffifin ayat 27 - المُطَففين - Page - Juz 30
﴿وَمِزَاجُهُۥ مِن تَسۡنِيمٍ ﴾
[المُطَففين: 27]
﴿ومزاجه من تسنيم﴾ [المُطَففين: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kinywaji hiki, mchanganyo wake watokana na chemchemi iliyoko Peponi linalojulikana, kwa ubora wake, kwa jina la Tasnīm |