Quran with Swahili translation - Surah Al-MuTaffifin ayat 28 - المُطَففين - Page - Juz 30
﴿عَيۡنٗا يَشۡرَبُ بِهَا ٱلۡمُقَرَّبُونَ ﴾
[المُطَففين: 28]
﴿عينا يشرب بها المقربون﴾ [المُطَففين: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hiyo ni chemchemi iliyoandaliwa wale waliokurubishwa kwa Mwenyezi Mungu na watajiburudisha nayo |