Quran with Swahili translation - Surah Al-Bayyinah ayat 3 - البَينَة - Page - Juz 30
﴿فِيهَا كُتُبٞ قَيِّمَةٞ ﴾
[البَينَة: 3]
﴿فيها كتب قيمة﴾ [البَينَة: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ndani ya kurasa hizo mna habari za kweli na amri za uadilifu zenye kuongoza kwenye haki na kwenye njia ilionyoka |