Quran with Swahili translation - Surah Al-Bayyinah ayat 2 - البَينَة - Page - Juz 30
﴿رَسُولٞ مِّنَ ٱللَّهِ يَتۡلُواْ صُحُفٗا مُّطَهَّرَةٗ ﴾
[البَينَة: 2]
﴿رسول من الله يتلو صحفا مطهرة﴾ [البَينَة: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nao ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, Muhammad , rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, atakayewasomea Qur’ani iliyomo kwenye kurasa safi |