The Quran in Swahili - Surah Takathur translated into Swahili, Surah At-Takathur in Swahili. We provide accurate translation of Surah Takathur in Swahili - السواحيلية, Verses 8 - Surah Number 102 - Page 600.
أَلْهَاكُمُ التَّكَاثُرُ (1) Kumekushughulisheni kutafuta wingi |
حَتَّىٰ زُرْتُمُ الْمَقَابِرَ (2) Mpaka mje makaburini |
كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ (3) Sivyo hivyo! Mtakuja jua |
ثُمَّ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ (4) Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua |
كَلَّا لَوْ تَعْلَمُونَ عِلْمَ الْيَقِينِ (5) Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini |
لَتَرَوُنَّ الْجَحِيمَ (6) Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu |
ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيْنَ الْيَقِينِ (7) Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini |
ثُمَّ لَتُسْأَلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ النَّعِيمِ (8) Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema |