Quran with Swahili translation - Surah Al-Masad ayat 4 - المَسَد - Page - Juz 30
﴿وَٱمۡرَأَتُهُۥ حَمَّالَةَ ٱلۡحَطَبِ ﴾
[المَسَد: 4]
﴿وامرأته حمالة الحطب﴾ [المَسَد: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr yeye na mke wake ambaye alikuwa akibeba miba na kuiweka kwenye njia anayopita Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ili kumuudhi |