The Quran in Swahili - Surah Ikhlas translated into Swahili, Surah Al-Ikhlas in Swahili. We provide accurate translation of Surah Ikhlas in Swahili - السواحيلية, Verses 4 - Surah Number 112 - Page 604.

| قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ (1) Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee |
| اللَّهُ الصَّمَدُ (2) Mwenyezi Mungu Mkusudiwa |
| لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) Hakuzaa wala hakuzaliwa |
| وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ (4) Wala hana anaye fanana naye hata mmoja |