Quran with Swahili translation - Surah Al-Ikhlas ayat 1 - الإخلَاص - Page - Juz 30
﴿قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ ﴾
[الإخلَاص: 1]
﴿قل هو الله أحد﴾ [الإخلَاص: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, «Yeye Ndiye Mwenyezi Mungu Aliyepwekeka kwa ustahiki wa kuabudiwa, uumbaji na utakatifu wa Majina na Sifa, Asiye na mshirika katika hayo |