The Quran in Swahili - Surah Falaq translated into Swahili, Surah Al-Falaq in Swahili. We provide accurate translation of Surah Falaq in Swahili - السواحيلية, Verses 5 - Surah Number 113 - Page 604.
قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ الْفَلَقِ (1) Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko |
مِن شَرِّ مَا خَلَقَ (2) Na shari ya alivyo viumba |
وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ (3) Na shari ya giza la usiku liingiapo |
وَمِن شَرِّ النَّفَّاثَاتِ فِي الْعُقَدِ (4) Na shari ya wanao pulizia mafundoni |
وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ (5) Na shari ya hasidi anapo husudu |