The Quran in Swahili - Surah Tin translated into Swahili, Surah At-Tin in Swahili. We provide accurate translation of Surah Tin in Swahili - السواحيلية, Verses 8 - Surah Number 95 - Page 597.

| بِّسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ وَالتِّينِ وَالزَّيْتُونِ (1) Naapa kwa tini na zaituni |
| وَطُورِ سِينِينَ (2) Na kwa Mlima wa Sinai |
| وَهَٰذَا الْبَلَدِ الْأَمِينِ (3) Na kwa mji huu wenye amani |
| لَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ فِي أَحْسَنِ تَقْوِيمٍ (4) Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa |
| ثُمَّ رَدَدْنَاهُ أَسْفَلَ سَافِلِينَ (5) Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini |
| إِلَّا الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ فَلَهُمْ أَجْرٌ غَيْرُ مَمْنُونٍ (6) Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha |
| فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعْدُ بِالدِّينِ (7) Basi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipo |
| أَلَيْسَ اللَّهُ بِأَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ (8) Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote |