Quran with Swahili translation - Surah At-Tin ayat 3 - التِّين - Page - Juz 30
﴿وَهَٰذَا ٱلۡبَلَدِ ٱلۡأَمِينِ ﴾
[التِّين: 3]
﴿وهذا البلد الأمين﴾ [التِّين: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Anaapa kwa Mji huu wa amani, usiokuwa na mambo ya kutisha. Nao ni mji wa Makkah, chimbuko la Uislamu |