The Quran in Swahili - Surah Sharh translated into Swahili, Surah Ash-Sharh in Swahili. We provide accurate translation of Surah Sharh in Swahili - السواحيلية, Verses 8 - Surah Number 94 - Page 596.

| أَلَمْ نَشْرَحْ لَكَ صَدْرَكَ (1) Hatukukunjulia kifua chako |
| وَوَضَعْنَا عَنكَ وِزْرَكَ (2) Na tukakuondolea mzigo wako |
| الَّذِي أَنقَضَ ظَهْرَكَ (3) Ulio vunja mgongo wako |
| وَرَفَعْنَا لَكَ ذِكْرَكَ (4) Na tukakunyanyulia utajo wako |
| فَإِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا (5) Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi |
| إِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا (6) Hakika pamoja na uzito upo wepesi |
| فَإِذَا فَرَغْتَ فَانصَبْ (7) Na ukipata faragha, fanya juhudi |
| وَإِلَىٰ رَبِّكَ فَارْغَب (8) Na Mola wako Mlezi ndio mshughulikie |