Quran with Swahili translation - Surah At-Takathur ayat 3 - التَّكاثُر - Page - Juz 30
﴿كـَلَّا سَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ﴾
[التَّكاثُر: 3]
﴿كلا سوف تعلمون﴾ [التَّكاثُر: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siyo namna hii inatakiwa iwapumbaze kushindana kwa wingi wa mali. Itawadhihirikia kuwa Nyumba ya Akhera ni bora kwenu |