Quran with Swahili translation - Surah Al-Kauthar ayat 2 - الكَوثر - Page - Juz 30
﴿فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنۡحَرۡ ﴾
[الكَوثر: 2]
﴿فصل لربك وانحر﴾ [الكَوثر: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi, mtakasie Mola wako ibada yako yote na uchinje mnyama wako kwa ajili Yake, Peke Yake, pamoja na kutaja jina Lake |