Quran with Swahili translation - Surah Al-Kauthar ayat 3 - الكَوثر - Page - Juz 30
﴿إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلۡأَبۡتَرُ ﴾
[الكَوثر: 3]
﴿إن شانئك هو الأبتر﴾ [الكَوثر: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenye kukutukia wewe na kuyatukia uliyokuja nayo ya uongofu na nuru ndiye itakayokatika athari yake na yeye mwenyewe kukatiwa kila kheri |