Quran with Swahili translation - Surah Al-Kauthar ayat 1 - الكَوثر - Page - Juz 30
﴿إِنَّآ أَعۡطَيۡنَٰكَ ٱلۡكَوۡثَرَ ﴾
[الكَوثر: 1]
﴿إنا أعطيناك الكوثر﴾ [الكَوثر: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi tumekupa, ewe Nabii, kheri nyingi za dunia na Akhera, miongoni mwazo ni mto wa Kauthar ulioko Peponi ambao pambizo zake ni mahema ya lulu na mchanga wake ni miski |