Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 56 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَٱذۡكُرۡ فِي ٱلۡكِتَٰبِ إِدۡرِيسَۚ إِنَّهُۥ كَانَ صِدِّيقٗا نَّبِيّٗا ﴾
[مَريَم: 56]
﴿واذكر في الكتاب إدريس إنه كان صديقا نبيا﴾ [مَريَم: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na utaje, ewe Mtume, katika hii Qur’ani habari ya Idris, amani imshukiye. Yeye alikuwa ni mkweli mkubwa katika maneno yake na vitendo vyake, ni Nabii aaliyeletewa wahyi |