Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 57 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَرَفَعۡنَٰهُ مَكَانًا عَلِيًّا ﴾
[مَريَم: 57]
﴿ورفعناه مكانا عليا﴾ [مَريَم: 57]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukauinua utajo wake kwa viumbe wote na cheo chake kwa wale waliosongezwa karibu. Akawa ni mwenye utajo wa juu na, ni mwenye cheo cha juu |