Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 35 - طه - Page - Juz 16
﴿إِنَّكَ كُنتَ بِنَا بَصِيرٗا ﴾
[طه: 35]
﴿إنك كنت بنا بصيرا﴾ [طه: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika, wewe ni mwenye kutuona, hakuna chochote kinachofichika kwako miongoni mwa vitendo vyetu.» |