Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 41 - طه - Page - Juz 16
﴿وَٱصۡطَنَعۡتُكَ لِنَفۡسِي ﴾
[طه: 41]
﴿واصطنعتك لنفسي﴾ [طه: 41]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Nimekupa neema hizi, ewe Mūsā, zikiwa ni chaguo langu kwako na uteuzi ili ubebe utume wangu na ufikishe ujumbe wangu na usimame kutekeleza maamrisho yangu na makatazo yangu |