×

Nenda, wewe na ndugu yako, pamoja na ishara zangu, wala msichoke kunikumbuka 20:42 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:42) ayat 42 in Swahili

20:42 Surah Ta-Ha ayat 42 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 42 - طه - Page - Juz 16

﴿ٱذۡهَبۡ أَنتَ وَأَخُوكَ بِـَٔايَٰتِي وَلَا تَنِيَا فِي ذِكۡرِي ﴾
[طه: 42]

Nenda, wewe na ndugu yako, pamoja na ishara zangu, wala msichoke kunikumbuka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: اذهب أنت وأخوك بآياتي ولا تنيا في ذكري, باللغة السواحيلية

﴿اذهب أنت وأخوك بآياتي ولا تنيا في ذكري﴾ [طه: 42]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Enda, ewe Mūsā, wewe na ndugu yako Hārūn, ukiwa na aya zangu zinazoonyesha uungu wangu na ukamilifu wa uweza wangu na ukweli wa utume wako, wala msiwe wanyonge katika kuendeleza utajo wangu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek