Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 9 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿وَٱلَّذِينَ هُمۡ عَلَىٰ صَلَوَٰتِهِمۡ يُحَافِظُونَ ﴾
[المؤمنُون: 9]
﴿والذين هم على صلواتهم يحافظون﴾ [المؤمنُون: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale ambao daima wanazitekeleza Swala zao kwa nyakati zake na kwa namana iliyowekwa na Sheria iliyokuja kutoka kwa Nabii, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukiye |