Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 191 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ﴾
[الشعراء: 191]
﴿وإن ربك لهو العزيز الرحيم﴾ [الشعراء: 191]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika, Mola wako, ewe Mtume, Ndiye Yeye Aliye Mshindi katika kuwatesa Kwake wale Anaowatesa miongoni mwa maadui Wake, Ndiye Anayewarehemu waja Wake wanaompwekesha |