×

Hakika katika hayo ipo Ishara, lakini hawakuwa wengi wao wenye kuamini 26:190 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shu‘ara’ ⮕ (26:190) ayat 190 in Swahili

26:190 Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 190 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 190 - الشعراء - Page - Juz 19

﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ﴾
[الشعراء: 190]

Hakika katika hayo ipo Ishara, lakini hawakuwa wengi wao wenye kuamini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن في ذلك لآية وما كان أكثرهم مؤمنين, باللغة السواحيلية

﴿إن في ذلك لآية وما كان أكثرهم مؤمنين﴾ [الشعراء: 190]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika katika mateso hayo yaliyowashukia kuna ushahidi wazi juu ya uweza wa Mwenyezi Mungu katika kuwapatiliza wakanushaji kwa adhabu na kuna mazingatio kwa mwenye kuzingatia. Na hawakuwa wengi wao ni wenye kuamini na kuwaidhika kwa hayo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek