Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 192 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَإِنَّهُۥ لَتَنزِيلُ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الشعراء: 192]
﴿وإنه لتنـزيل رب العالمين﴾ [الشعراء: 192]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika, hii Qur’ani ambayo ndani yake zimetajwa habari hizi za kweli imeteremshwa na Muumba viumbe na Mmiliki wa mambo yote |