Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 66 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿ثُمَّ أَغۡرَقۡنَا ٱلۡأٓخَرِينَ ﴾
[الشعراء: 66]
﴿ثم أغرقنا الآخرين﴾ [الشعراء: 66]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tukamzamisha Fir’awn na waliokuwa pamoja na yeye kwa kuifanya bahari iwafinike baada ya wao kuingia ndani wakimfuata Mūsā na watu wake |