Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 65 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَأَنجَيۡنَا مُوسَىٰ وَمَن مَّعَهُۥٓ أَجۡمَعِينَ ﴾
[الشعراء: 65]
﴿وأنجينا موسى ومن معه أجمعين﴾ [الشعراء: 65]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukamuokoa Mūsā na waliokuwa pamoja na yeye wote. Bahari ikaendelea kuachana kwake (kwa ule mpasuko) mpaka wakavuka kwenye nchi kavu |