Quran with Swahili translation - Surah Luqman ayat 3 - لُقمَان - Page - Juz 21
﴿هُدٗى وَرَحۡمَةٗ لِّلۡمُحۡسِنِينَ ﴾
[لُقمَان: 3]
﴿هدى ورحمة للمحسنين﴾ [لُقمَان: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Aya hizi ni uongofu na ni rehema kwa waliofanya vizuri kuyafiuata kivitendo yale yaliyoteremshwa katika Qur’ani na aliyowaamrisha kwayo Mtume wao Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie |