Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 110 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ﴾
[الصَّافَات: 110]
﴿كذلك نجزي المحسنين﴾ [الصَّافَات: 110]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kama tulivyomlipa malipo mema Ibrāhīm kwa utiifu wake kwetu na kufuata kwake amri yetu, ndivyo tutakavyowalipa wenye kufanya wema miongoni mwa waja wetu |