Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 38 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِنَّكُمۡ لَذَآئِقُواْ ٱلۡعَذَابِ ٱلۡأَلِيمِ ﴾
[الصَّافَات: 38]
﴿إنكم لذائقوا العذاب الأليم﴾ [الصَّافَات: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika yenu nyinyi, enyi washirikina, kwa neno lenu, ukafiri wenu na kukanusha kwenu, ni wenye kuonja adhabu iliyo kali yenye uchungu |