Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 37 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿بَلۡ جَآءَ بِٱلۡحَقِّ وَصَدَّقَ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ﴾
[الصَّافَات: 37]
﴿بل جاء بالحق وصدق المرسلين﴾ [الصَّافَات: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wamesema urongo! Muhammad sivyo vile walivyomueleza. Bali amekuja na Qur’ani na upwekeshaji Mwenyezi Mungu, na akathibitisha ukweli wa Mitume katika kile walichokitolea habari kuhusu sheria ya Mwenyezi Mungu na kumpwekesha Yeye |