Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 81 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِنَّهُۥ مِنۡ عِبَادِنَا ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ﴾
[الصَّافَات: 81]
﴿إنه من عبادنا المؤمنين﴾ [الصَّافَات: 81]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Nūḥ ni miongoni mwa waja wetu wenye kuamini, wenye kumtakasia Mwenyezi Mungu na wenye kufuata amri za Mwenyezi Mungu kivitendo |