Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 80 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ﴾
[الصَّافَات: 80]
﴿إنا كذلك نجزي المحسنين﴾ [الصَّافَات: 80]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mfano wa malipo mema tuliomlipa Nūḥ, tutamlipa kila aliyefanya vizuri, miongoni mwa waja, katika kumtii Mwenyezi Mungu |