Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 88 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَنَظَرَ نَظۡرَةٗ فِي ٱلنُّجُومِ ﴾
[الصَّافَات: 88]
﴿فنظر نظرة في النجوم﴾ [الصَّافَات: 88]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akatazama mtazamo mmoja kwenye nyota kulingana na mila ya watu wake kuhusu hilo, huku akifikiria udhuru wa kuutoa ili asipate kutoka na wao kwenda kwenye sherehe zao |