Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 89 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَقَالَ إِنِّي سَقِيمٞ ﴾
[الصَّافَات: 89]
﴿فقال إني سقيم﴾ [الصَّافَات: 89]
Abdullah Muhammad Abu Bakr akawaambia, «Mimi ni mgonjwa.» Hii ilikuwa ni ishara ya mbali kutoka kwake |