Quran with Swahili translation - Surah Al-Fath ayat 3 - الفَتح - Page - Juz 26
﴿وَيَنصُرَكَ ٱللَّهُ نَصۡرًا عَزِيزًا ﴾
[الفَتح: 3]
﴿وينصرك الله نصرا عزيزا﴾ [الفَتح: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akunusuru juu ya maadui wako na Akuongoze njia ya Dini iliyolingana sawa isiyopotoka , na Mwenyezi Mugu Akunusuru kwa nguvu kwa namna ambayo Uislamu hautakuwa mnyonge |