Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 48 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿وَأَنَّهُۥ هُوَ أَغۡنَىٰ وَأَقۡنَىٰ ﴾ 
[النَّجم: 48]
﴿وأنه هو أغنى وأقنى﴾ [النَّجم: 48]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Yeye Ndiye Anayewatajirisha Anaowataka miongoni mwa viumbe Wake kwa mali, na Ndiye Anayewamilikisha na kuwaridhisha nayo |