Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 47 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿وَأَنَّ عَلَيۡهِ ٱلنَّشۡأَةَ ٱلۡأُخۡرَىٰ ﴾
[النَّجم: 47]
﴿وأن عليه النشأة الأخرى﴾ [النَّجم: 47]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwamba ni juu ya Mola wako, ewe Mtume, kurejesha uumbaji wao baada ya kufa kwao, na huo ndio uumbaji mwingine Siku ya Kiyama |