Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 49 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿وَأَنَّهُۥ هُوَ رَبُّ ٱلشِّعۡرَىٰ ﴾
[النَّجم: 49]
﴿وأنه هو رب الشعرى﴾ [النَّجم: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwamba Yeye Ndiye Mola wa al-Shi'rā, nayo ni nyota inayong’ara ambayo baadhi ya watu wa zama za Ujinga walikuwa wakiiabudu badala ya Mwenyezi Mungu |