Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 16 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿فَكَيۡفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴾
[القَمَر: 16]
﴿فكيف كان عذابي ونذر﴾ [القَمَر: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr basi je kuna wakuwaidhika awaidhike? Na ilikuwa vipi adhabu yangu na maonyo yangu kwa aliyenikufuru mimi, akawakanusha Mitume wangu na asiwaidhike kwa walichokuja nacho? Hakika hiyo ilikuwa kubwa yenye uchungu |