Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 15 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَلَقَد تَّرَكۡنَٰهَآ ءَايَةٗ فَهَلۡ مِن مُّدَّكِرٖ ﴾
[القَمَر: 15]
﴿ولقد تركناها آية فهل من مدكر﴾ [القَمَر: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika tulikibakisha kisa cha Nūḥ pamoja na watu wake kiwe ni mazingatio na dalili ya uweza wetu kwa walio baada ya Nūḥ, ili wazingatie na wawaidhike kwa lililowapata ummah huu uliokanusha Mtume wao |