Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 17 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَلَقَدۡ يَسَّرۡنَا ٱلۡقُرۡءَانَ لِلذِّكۡرِ فَهَلۡ مِن مُّدَّكِرٖ ﴾
[القَمَر: 17]
﴿ولقد يسرنا القرآن للذكر فهل من مدكر﴾ [القَمَر: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika tumeyasahilisha matamko ya Qur’ani ili isomwe na ihifadhiwe, na pia maana yake ili ieleweke na izingatiwe. Je kuna mwenye kuwaidhika nayo? Katika aya hii na mfano wake katika hii Sura kuna kuhimiza kusoma Qur’ani kwa wingi, kujifunza na kuifundisha |