Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 21 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿فَكَيۡفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴾
[القَمَر: 21]
﴿فكيف كان عذابي ونذر﴾ [القَمَر: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi ilikuwa vipi adhabu yangu na onyo langu kwa aliyenikufuru na akawakanusha Mitume wangu na Asiwaamini? Hakika ilikuwa kubwa yenye uchungu |