Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 20 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿تَنزِعُ ٱلنَّاسَ كَأَنَّهُمۡ أَعۡجَازُ نَخۡلٖ مُّنقَعِرٖ ﴾
[القَمَر: 20]
﴿تنـزع الناس كأنهم أعجاز نخل منقعر﴾ [القَمَر: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr yenye kung’oa watu kutoka mahali walipo kwenye ardhi na kuwatupa kwa vichwa vyao, kuzivunja shingo zao na kuvipambanua vichwa vyao na miili yao na kuwaacha kama mitende iliyong’olewa kutoka mashinani |