Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 22 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَلَقَدۡ يَسَّرۡنَا ٱلۡقُرۡءَانَ لِلذِّكۡرِ فَهَلۡ مِن مُّدَّكِرٖ ﴾
[القَمَر: 22]
﴿ولقد يسرنا القرآن للذكر فهل من مدكر﴾ [القَمَر: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika tumeyasahilisha matamko ya Qur’ani, ili isomwe na ihifadhiwe, na tumeyasahilisha maana yake, ili ieleweke na izingatiwe kwa anayetaka kuwaaidhika na kuzingatia. Je kuna yoyote mwenye kuwaidhika nayo? Hapa pana kuhimiza kusoma Qur’ani kwa wingi, kujifunza na kufundisha |