Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 23 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿كَذَّبَتۡ ثَمُودُ بِٱلنُّذُرِ ﴾
[القَمَر: 23]
﴿كذبت ثمود بالنذر﴾ [القَمَر: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Walizikanusha watu wa kabila la Thamūd, nao ni watu wa Ṣāliḥ, alama ambazo walionywa nazo |