Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 24 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿فَقَالُوٓاْ أَبَشَرٗا مِّنَّا وَٰحِدٗا نَّتَّبِعُهُۥٓ إِنَّآ إِذٗا لَّفِي ضَلَٰلٖ وَسُعُرٍ ﴾
[القَمَر: 24]
﴿فقالوا أبشرا منا واحدا نتبعه إنا إذا لفي ضلال وسعر﴾ [القَمَر: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr wakasema, «Je tumfuate binadamu mmoja miongoni mwetu na hali sisi ni wengi na yeye ni mmoja? Tukifanya hivyo tutakuwa mbali na usawa na tutakuwa ni wenye wazimu |