Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 39 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿فَذُوقُواْ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴾
[القَمَر: 39]
﴿فذوقوا عذابي ونذر﴾ [القَمَر: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na wakaambiwa, «Onjeni adhabu yangu niliyowateremshia nyinyi kwa sababu ya ukafiri wenu na ukanushaji wenu onyo langu alilowaonya nalo Lūṭ, amani imshukie |