Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 38 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَلَقَدۡ صَبَّحَهُم بُكۡرَةً عَذَابٞ مُّسۡتَقِرّٞ ﴾
[القَمَر: 38]
﴿ولقد صبحهم بكرة عذاب مستقر﴾ [القَمَر: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na iliwajia kipindi cha asubuhi adhabu ya kuendelea, imejikita kwao mpaka iwafikishe kwenye adhabu ya Akhera. Adhabu yenyewe ni kuvurumizwa mawe na kuipindua miji yao kwa namna ambayo kulikokuwa juu kukawa chini |