Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 55 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿فِي مَقۡعَدِ صِدۡقٍ عِندَ مَلِيكٖ مُّقۡتَدِرِۭ ﴾
[القَمَر: 55]
﴿في مقعد صدق عند مليك مقتدر﴾ [القَمَر: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwenye kikao cha haki, kisochokuwa na maneno ya upuuzi wala ya kuwatia madhambini, mbele ya Mwenyezi Mungu, Aliye Mfalme Mkubwa, Muumba vitu vyote, Mwenye uweza wa kila kitu, Aliyetukuka na kuwa juu |